Nimezungumza na baba yake @moodewji. Habari za kutekwa kwa rafiki yetu Mo ni za kweli. Nimetikiswa sana. Naamini polisi watatoa taarifa kamili. Mohammed ana familia na watoto wadogo. Tumuombee yeye na familia yake. Tusaidie kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake.
— January Makamba (@JMakamba) October 11, 2018